Date Range
Date Range
Date Range
Forgot Password or Username? Deviant for 7 Years. This is the place where you can personalize your profile! By moving, adding and personalizing widgets.
Sunday, November 6, 2011. BAADA ya kukaa wiki moja mahabusI ya gereza kuu la mkoa wa Arusha, lililopo eneo. La Kisongo ,wilayani Arumeru hatimae mbunge wa jimbo la Arusha,Godbless Lema, amekubali kutoka mahabusi hiyo kufuatia juhudi zilizofanywa na mwenyekiti wake wa taifa Freeman mbowe, ambae alifika gerezani hapo kumjulia hali . Uamuzi huo uliochukuliwa na mbunge huyo umepokewa kwa hisia tofauti huku kundi kubwa likimtuhumu kuwa. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kama ambavyo amek.
MWANGAZA WA MAISHA-THE LIGHT OF LIFE. JINA LANGU NI SEIF JIGGE, JAPO NIMEZOELEKA ZAIDI NA WENGI KWA MAJINA YA JIGGE, OUGANTALLA AMA KAKA OUGA.
Friday, November 19, 2010. Bunge la 2010-2015 ni la vijana, mandhari na kila kitu kinabeba tafsiri hiyo na hapa kuna ripoti kamili ya kilichochukua nafasi mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Bunge la 10. Jicho la Ijumaa Wikienda bungeni lina tathmini ya jumla kuwa bunge jipya lina idadi kubwa ya vijana kuliko wazee, tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma. Mchungaji Peter Msigwa, Iringa Mjini. Mandhari ya Jumatano yalikuwa n.